87- Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Yeyote mwenye kuja katika msikiti huu na hakuja kwa jengine isipokuwa ima ajifunze au afunze jambo la kheri, basi yuko katika daraja ya mpambanaji katika njia ya Allaah. Na yeyote mwenye kuja kwa jambo jengine basi yuko katika daraja ya mtu anayetazama mali za wengine.”[1]
Ameipokea Ibn Maajah na al-Bayhaqiy. Hakuna katika cheni ya wapokezi ambaye ameachwa au ambaye kuna maafikiano juu ya unyonge wake.
[1] Swahiyh.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/146)
- Imechapishwa: 01/05/2020
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
87- Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Yeyote mwenye kuja katika msikiti huu na hakuja kwa jengine isipokuwa ima ajifunze au afunze jambo la kheri, basi yuko katika daraja ya mpambanaji katika njia ya Allaah. Na yeyote mwenye kuja kwa jambo jengine basi yuko katika daraja ya mtu anayetazama mali za wengine.”[1]
Ameipokea Ibn Maajah na al-Bayhaqiy. Hakuna katika cheni ya wapokezi ambaye ameachwa au ambaye kuna maafikiano juu ya unyonge wake.
[1] Swahiyh.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/146)
Imechapishwa: 01/05/2020
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/04-hadiyth-yeyote-mwenye-kuja-katika-msikiti-huu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)