100- ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesimilia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Si katika sisi yule asiyewahurumia wadogo wetu na akaitambua haki ya wakubwa wetu.”[1]
Ameipokea al-Haakim ambaye amesema:
“Ni Swahiyh juu ya sharti za Muslim.”
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/152)
- Imechapishwa: 02/05/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)