279 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
أمرنا رسولُ الله – صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ – ببناءِ المساجد في الدُّورِ ، وأن تُنَظَّفَ وتُطَيِّبَ
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametuamrisha kujenga misikiti katika makabila na tuisafisha na kuitia manukato[1].”[2]
Ameipokea Ahmad, Abu Daawuud, Ibn Maajah na Ibn Khuzaymah katika ”as-Swahiyh”. at-Tirmidhiy ameipokea kwa cheni ya wapokezi ilioungana na kwa cheni ya wapokezi inayokosa Swahabah na akasema kuhusu ule upokezi unaokosa Swahabah katika cheni ya wapokezi:
“Hii ni sahihi zaidi.”
[1] Kwa sababu Malaika watukufu wanahudhuria.
[2] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/231)
- Imechapishwa: 25/10/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
279 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
أمرنا رسولُ الله – صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ – ببناءِ المساجد في الدُّورِ ، وأن تُنَظَّفَ وتُطَيِّبَ
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametuamrisha kujenga misikiti katika makabila na tuisafisha na kuitia manukato[1].”[2]
Ameipokea Ahmad, Abu Daawuud, Ibn Maajah na Ibn Khuzaymah katika ”as-Swahiyh”. at-Tirmidhiy ameipokea kwa cheni ya wapokezi ilioungana na kwa cheni ya wapokezi inayokosa Swahabah na akasema kuhusu ule upokezi unaokosa Swahabah katika cheni ya wapokezi:
“Hii ni sahihi zaidi.”
[1] Kwa sababu Malaika watukufu wanahudhuria.
[2] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/231)
Imechapishwa: 25/10/2022
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/04-hadiyth-mtume-wa-allaah-swalla-allaahu-alayhi-wa-sallam-ametuamrisha-kujenga-misikiti/