329 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
إنّ للمساجد أوتاداً ؛ الملائكة جلساؤهم، إنْ غابوا يفتقدونهم ، إنْ مرضوا عادوهم، وإنْ كانوا في حاجة أعانوهم
“Hakika misikiti iko na watembezi ambao Malaika ndio wanaokaa nao. Wasipojitokeza, wanawakosa. Wakiugua, wanawatembelea. Wakiwa na haja, wanawasaidia. Kisha akasema:
جليس المسجد على ثلاث خصالٍ: أَخٌ مستفاد، أو كلمة حكمة، أو رحمة منتظَرة
“Yule anayekaa msikitini anapata mambo matatu: ima ndugu anayetoa faida, neno la hekima au rehema inayosubiriwa.”[1]
Ameipokea Ahmad kupitia kwa Ibn Lahiy´ah.
[1] Nzuri na Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/252)
- Imechapishwa: 06/12/2023
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)