270 – ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
مَن بنى لله مسجداً يُذكَر فيه؛ بنى الله له بيتاً في الجنةِ
“Yeyote atakayejenga msikiti kwa ajili ya Allaah ambapo anatajwa ndani yake, basi Allaah atamjengea nyumba Peponi.”[1]
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/227-228)
- Imechapishwa: 09/03/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
270 – ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
مَن بنى لله مسجداً يُذكَر فيه؛ بنى الله له بيتاً في الجنةِ
“Yeyote atakayejenga msikiti kwa ajili ya Allaah ambapo anatajwa ndani yake, basi Allaah atamjengea nyumba Peponi.”[1]
[1] Swahiyh kupitia zengine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/227-228)
Imechapishwa: 09/03/2022
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/03-hadiyth-yeyote-atakayejenga-msikiti-kwa-ajili-ya-allaah-ambapo-anatajwa-ndani-yake/