207 – Zaynab bint Jahsh (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesimulia kuwa Mtume amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
لولا أنْ أَشق على أمّتي لأمرتُهم بالسِّواكِ عند كلِّ صلاةٍ كما يتوضّؤون
“Lau kama sio kuwatia uzito ummah wangu, basi ningeliwaamrisha kutumia Siwaak wakati wa kila swalah kama wanavyotawadha.”[1]
Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi nzuri.
[1] Nzuri.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/202)
- Imechapishwa: 07/01/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)