4- Ibn Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna nafsi yoyote inayouliwa kwa dhuluma isipokuwa mtoto wa Aadam wa kwanza anapata sehemu ya fungu lake la damu. Kwa sababu yeye ndiye alikuwa wa mwanzo kuweka msingi wa mauaji.”[1]
Ameipokea al-Bukhaariy, Muslim na at-Tirmidhiy.
[1] Swahiyh.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/134)
- Imechapishwa: 29/04/2020
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
4- Ibn Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna nafsi yoyote inayouliwa kwa dhuluma isipokuwa mtoto wa Aadam wa kwanza anapata sehemu ya fungu lake la damu. Kwa sababu yeye ndiye alikuwa wa mwanzo kuweka msingi wa mauaji.”[1]
Ameipokea al-Bukhaariy, Muslim na at-Tirmidhiy.
[1] Swahiyh.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/134)
Imechapishwa: 29/04/2020
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/03-hadiyth-hakuna-nafsi-yoyote-inayouliwa-kwa-dhuluma/