Swali 02: Kunakusudiwa nini kunaposemwa “mfumo” (المنهج)?

Jibu: Ni ile njia anayopita mwanafunzi wakati wa kulingania katika dini ya Allaah. Haya ndio makusudio.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Fataawaa al-Jaliyyah
  • Imechapishwa: 16/07/2017