02. Hadiyth “Watu wawili wasitoke nje kwenda chooni… “

156 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anhum) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Watu wawili wasitoke nje kwenda chooni wakaketi chini huku wakizungumza pindi wanapokidhi haja hali ya kuwa wameacha wazi nyuchi zao. Allaah huchukia jambo hilo.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Awsatw” kwa cheni ya wapokezi laini.

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/175)
  • Imechapishwa: 05/04/2021
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy