164 – Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule ambaye anamwamini Allaah na siku ya mwisho basi asiingie bafu za nje isipokuwa awe na shuka ya juu na yule ambaye anamwamini Allaah na siku ya mwisho basi asimwache mkewe kuingia katika bafu za nje.”[1]
Ameipokea an-Nasaa’iy, at-Tirmidhiy aliyesema kuwa ni nzuri na al-Haakim akasema:
“Swahiyh juu ya sharti za Muslim.”
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/180)
- Imechapishwa: 05/04/2021
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
164 – Jaabir (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule ambaye anamwamini Allaah na siku ya mwisho basi asiingie bafu za nje isipokuwa awe na shuka ya juu na yule ambaye anamwamini Allaah na siku ya mwisho basi asimwache mkewe kuingia katika bafu za nje.”[1]
Ameipokea an-Nasaa’iy, at-Tirmidhiy aliyesema kuwa ni nzuri na al-Haakim akasema:
“Swahiyh juu ya sharti za Muslim.”
[1] Swahiyh kupitia zengine.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/180)
Imechapishwa: 05/04/2021
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/01-hadiyth-yule-ambaye-anamwamini-allaah-na-siku-ya-mwisho/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)