202 – Imaam Abu Bakr Abiy Shaybah (Rahimahu Allaah) amesema: “Imethibiti kwetu ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

لا وضوءَ لمن لمْ يُسَمِّ اللهَ

“Hana wudhuu´ ambaye hakumtaja Allaah.”[1]

Alisema namna hiyo[2].

[1] Nzuri kupitia zingine.

[2] Mtunzi (Rahimahu Allaah) anaashiria ya kuwa hakubaliani na maneno ya Ibn Abiy Shaybah, jambo ambalo mimi sikubaliani nalo. Kwani Hadiyth inaweza kuthibiti kupitia njia nyingi, kama ilivyo katika Hadiyth hii.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/200)
  • Imechapishwa: 02/01/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy