265 – Anas bin Maalik (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
الدعاءُ بين الأذان والإقامة لا يُردُّ
“Du´aa kati ya kuadhini na kukimu hairudishwi.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud, at-Tirmidhiy na tamko ni lake, an-Nasaa´iy, Ibn Khuzaymah katika “as-Swahiyh” na Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” amabye ameongeza:
فادْعوا
“… hivyo basi, ombeni.”
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/225)
- Imechapishwa: 09/03/2022
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
265 – Anas bin Maalik (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
الدعاءُ بين الأذان والإقامة لا يُردُّ
“Du´aa kati ya kuadhini na kukimu hairudishwi.”[1]
Ameipokea Abu Daawuud, at-Tirmidhiy na tamko ni lake, an-Nasaa´iy, Ibn Khuzaymah katika “as-Swahiyh” na Ibn Hibbaan katika “as-Swahiyh” amabye ameongeza:
فادْعوا
“… hivyo basi, ombeni.”
[1] Swahiyh kupitia zengine.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/225)
Imechapishwa: 09/03/2022
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/01-hadiyth-duaa-kati-ya-kuadhini-na-kukimu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)