Ndani yake kuna sura zifuatazo:

Sura ya kwanza: Ulazima wa kumpenda Mtume na kumtukuza na makatazo ya kuchupa mipaka, kuchupa mipaka katika kumsifu, kubainisha cheo chake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

Sura ya pili: Ulazima wa kumtii na kumuigiliza.

Sura ya tatu: Uwekwaji Shari´ah wa kumswalia na kumtolea salamu.

Sura ya nne: Fadhilah za watu wa nyumbani kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na yaliyo ya wajibu kwao pasi na kuzembea wala kuchupa mipaka.

Sura ya tano: Fadhilah za Maswahabah na ambayo ni lazima kuamini juu yao na madhehebu ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah kuhusu yaliyopitika kati yao.

Sura ya sita: Makatazo ya kuwatukana Maswahabah na viongozi wa uongofu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Aqiydat-ut-Tawhiyd, uk. 148
  • Imechapishwa: 16/06/2020