00. Ibn ´Uthaymiyn kuhusu kitabu cha Ibn Hibbaan “Rawdhwat-ul-´Uqalaa´”

Miongoni mwa vitabu ambavyo nimeona kuhusu maudhui ni kitabu cha [Ibn Hibbaan] al-Bustiy “Rawdhwat-ul-´Uqalaa´”. Pamoja na kuwa ni kifupi ni kitabu kikubwa. Ndani yake mna faida nyingi na mapokezi matukufu kutoka kwa wanachuoni na wengineo. Chuoni kilikuwa katika selebasi wakati wangu. Wengi walinufaika nacho.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Hilyah Twaalib-il-´Ilm, uk. 194
  • Imechapishwa: 13/10/2016