Zip kwenye mavazi ya mwanamke


Swali: Je, inajuzu kuweka zip kwenye mavazi ya mwanamke au ni haramu?

Jibu: Hakuna neno kuweka zip kwenye nguo ya mwanamke. Ni mamoja mtu akaweka kwa nyuma au kwa mbele. Hayo ni kwa sababu msingi katika mavazi ni kuruhusu (الإباحة) inapokuja katika aina na namna. Isipokuwa yale ambayo Shaari´ah imetaja kuhusu uharamu wake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (16) http://binothaimeen.net/content/6804
  • Imechapishwa: 06/03/2021