Zakaah mke wa mvulana wake


Nimemsikia Ahmad akiulizwa kuhusu babamkwe kumpa zakaah mke wa mvulana wake. Akajibu:

“Ikiwa hakulenga kumnufaisha mvulana wake kwayo, basi hakuna neno.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 119-120
  • Imechapishwa: 21/02/2021