Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye anaenda kwa mchawi ili kumroga mwengine?
Jibu: Wote ni wenye kushirikiana katika hukumu. Ni wenye kusaidiana katika madhambi na uadui.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (60) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16548
- Imechapishwa: 10/09/2017