Baadhi ya waghafilikaji wanafikiria kuwa na ujuzi wa mambo ya kisasa (Fiqh-ul-Waaqi’) inahusiana na kujua ni barabara ngapi zipo Paris, Cairo na Marekani na kama hujui Jiografia basi wewe huelewi mambo ya kisasa.

Watu wajuzi kabisa wa mambo ya kisasa ni Ahl-us-Sunnah na khaswa Shaykh Ibn Baaz na Shaykh al-Albaaniy.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 110
  • Imechapishwa: 19/04/2015