Swali: Inafaa kwa mwanamke kuwapeleka watoto wake wadogo  sana msikitini ambao pengine wakawaudhi wengine?

Jibu: Asiwapeleke msikitini. Wanaweza kuwaudhi waswaliji na kufanya vibaya msikitini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 08/11/2020