Wanandoa kumdhukuru Allaah wakati wako wanafanya jimaa

Swali: Je, inajuzu kwa wanandoa kumdhukuru Allaah wakati wanafanya jimaa?

Jibu: Yaliyothibiti ni kabla ya kuanza ndio mwanaume anatakiwa kumtaja Allaah kwa kusema “Allaahumma jannibnash-Shaytwaan, wa jannib ash-Shaytwaana maa razaqtana”.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-10.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014