Katika istilahi walii kwa mujibu wa Ahl-us-Sunnah ni kila ambaye ni muumini na mwenye kumcha Allaah. Kwa msemo mwingine walii ni kila yule ambaye yuko na imani na uchaji Allaah.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, uk. 509
  • Imechapishwa: 10/05/2020