Wakeze na wajakazi wa Yakobo katika Biblia


22Usiku ule Yakobo akaamka akawachukua wake zake wawili, watumishi wake wawili wa kike na wanawe kumi na mmoja na akavuka kivuko cha Yaboki. 23Baada ya kuwavusha ngʼambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote. 24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mwanzo 32:22-24
  • Imechapishwa: 13/01/2020