Swali: Ni jambo limeenea sana leo wafiwa ndio wanawatengenezea chakula wanaokuja kutoa pole. Ni ipi hukumu ya kitendo hichi?
Jibu: Hili linaenda kinyume na Sunnah. Haijuzu kufanya hivi. Kuwakalifisha wafiwa pamoja na msiba waliyomo, mnawakalifisha kuwatengenezea chakula tena? Hili linaenda kinyume na Sunnah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-11-6.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2014