Swali: Baadhi ya watu wanapokutana na wewe wanakuuliza “Vipi imani yako?”

Jibu: Ni jambo lisilokuwa na msingi. Badala yake akuulize “Vipi hali yako?”, “Vipi hali ya watoto?” Bora zaidi ni kuacha kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (01)
  • Imechapishwa: 09/08/2020