Vijana wanawachezea shere wachawi


Swali: Baadhi ya vijana wanawapigia simu wachawi, wanarekodi maneno yao, wanawachezea shere wachawi hawa kisha wanaeneza rekodi hizi…

Jibu: Haijuzu kwao kufanya hivi. Kuna ambao wanaweza kusadikisha maneno yao hayo. Wewe hukuwaamini, lakini huenda kukawepo wengine watakaowaamini. Kitendo kama hichi kinaeneza uchawi na hakijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017