Swali: Unaweza kumnasihi mtawala ambaye anawakusanya wanachuoni na kunachukuliwa picha kisha baadaye inasambazwa kwenye intaneti?

Jibu: Haya ni maandamano. Haijuzu. Haya ni maandamano. Sio nasaha. Nasaha inakuwa kwa siri. Hadiyth inasema amshike mkono na kumnasihi kwa siri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tahid-25-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017