Watoto waamrishwe kuswali swalah zote msikitini?

Swali: Mtoto kati ya miaka saba mpaka kumi anatakiwa kuamrishwa kuswali kila faradhi msikitini?

Jibu: Akiweza kufanya hili anatakiwa kuzowezwa kuswali msikitini. Ikiwa hakuna khatari na anaenda na msimamizi wake ni bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tahid-25-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017