Takbiyr zilizofungamanishwa kwa aliyeswali peke yake

Swali: Mwanamke ambaye anaswali swalah ya faradhi nyumbani kwake anatakiwa kuleta Takbiyr zilizofungamanishwa?

Jibu: Hapana, isipokuwa akiswali kwa mkusanyiko. Hata mwanaume akiswali peke yake hatakiwi kuleta Takbiyr zilizofungamanishwa. Ni pale tu atakaposwali kwa mkusanyiko.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 05/06/2019