Sunnah kwa wakazi wa Makkah juu ya swalah ya ´iyd

Swali: Katika maelezo yangu ya chini ya kitabu kumeandikwa kwamba swalah ya ´iyd inaswaliwa katika uwanja wa wazi jangwani isipokuwa Makkah. Bora kwa wakazi wake wakaswali msikiti Mtakatifu.

Jibu: Ndio, mambo ni hivo. Watu wa Makkah hawatakiwi kutoka. Wanatakiwa kuswali katika msikiti Mtakatifu. Hivi ndivo hali ilivyokuwa tokea wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kuhusu msikiti wa al-Madiynah nyenginezo Sunnah ni kwamba watoke kwenda jangwani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 05/06/2019