Swali: Je, swawm inaharibika mfungaji akitapika?
Jibu: Swawm yake haiharibiki akitapika pasi na kukusudia.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
- Imechapishwa: 13/08/2017