Subha ni alama ya Suufiyyah


Swali: Ni ipi hukumu ya kutundika Subha kwenye gari?

Jibu: Hapana, usiitundike kwenye gari na wala usiibebe daima. Subha imekuwa na utatizi kwa kuwa imekuwa ni alama ya Suufiyyah. Achana na Subha! Sabihi kwa vidole vyako, ewe ndugu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13740
  • Imechapishwa: 16/11/2014