Shiy´ah Ibn Abiyl-Hadiyd anakiri myahudi ndiye muasisi wa pote hilo

Wakati ´Aliy alikuwa amesimama na anakhutubu alisimama Ibn Sabaa´ na akasema:

“Wewe ndiye Ndiye!”

Akawa anakariri hivo mara nyingi ambapo ´Aliy akasema:

“Ole wako! Mimi ni nani?”

Akajibu:

“Wewe ni Allaah.”

Hivyo akaamrisha akamatwe yeye na watu waliokuwa na mtazamo kama wake.

  • Mhusika: ´Abdul-Hamiyd bin Abiyl-Hadiyd (kfrk 656)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nahj-il-Balaaghah (5/5)
  • Imechapishwa: 09/12/2018


Takwimu
  • 25
  • 413
  • 1,821,444