Shaytwaan kwa jina Walhaan


Nilimweleza baba yangu kwamba hutumia maji mengi wakati wa kutawadha. Akanikataza jambo hilo na kusema:

“Mwanangu kipenzi! Inasemekana kwamba wudhuu´ unao shaytwaan kwa jina Walhaan.”

Alisema hivo mara nyingi kunambia. Alinikataza kutumia maji mengi na kusema:

“Mwanangu kipenzi! Punguza maji!”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/108)
  • Imechapishwa: 30/01/2021