Sharti mbili kuwinda kwa mbwa

Swali: Ni sharti kuiagiza mbwa kwa jina la Allaah ili kiwindwa hicho kiwe halali?

Jibu: Ndio. Akile ikiwa aliiagiza kwa jina la Allaah. Vinginevyo asile. Ukiiagiza mbwa iliyofunzwa na ukataja jina la Allaah, kula kiwindwa. Lazima yapatikane masharti mawili:

1- Wewe ndio uwe umeiagiza na si kwamba imeenda yenyewe.

2- Uiagize kwa jina la Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 13/03/2017