Kuuliza juu ya nyama katika nchi ya Kiislamu

Swali: Ni jambo la kawaida kuletwa (Saudi Arabia) nyama kutoka nje ambazo zinatolewa kwenye migahawa. Je, ni kujikakama kuuliza ni wapi nyama hizo zimetoka kila wakati mtu anapotaka kula kwenye mgahawa?

Jibu: Asiulize. Asli ni kuwa wanyama wanachinjwa hapa. Mashamba ya kuku ni mengi Saudi Arabia. Wanachinja na migahawa inanunua kutoka kwao. Kujikakama ni jambo halikuwekwa katika Shari´ah katika suala hili. Yuko katika nchi ya Kiislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 13/03/2017