Swali: Ni ipi hukumu ya kutundika Aayah za Qur-aan katika chumba cha nyumbani?
Jibu: Sionelei kufanya hivyo. Kwa kuwa hili ni jambo ambalo halikufanywa na Salaf. Walikuwa hawatundiki Aayah katika majumba, kuta, gari au mipando. Walikuwa hawafanyi hili. Pengine baadhi ya watu wanafanya hivyo kama hirizi. Wanazitundika ili zihifadhi nyumba au watu wa nyumbani. Inakuwa hili limeingia katika kutundika hirizi. Haijuzu jambo hili. Mimi naonelea kuacha kufanya kitendo hichi ni bora na usalama zaidi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/files/ls–jeddah-1430-8-20.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kutundika Aayah za Qur-aan katika chumba cha nyumbani?
Jibu: Sionelei kufanya hivyo. Kwa kuwa hili ni jambo ambalo halikufanywa na Salaf. Walikuwa hawatundiki Aayah katika majumba, kuta, gari au mipando. Walikuwa hawafanyi hili. Pengine baadhi ya watu wanafanya hivyo kama hirizi. Wanazitundika ili zihifadhi nyumba au watu wa nyumbani. Inakuwa hili limeingia katika kutundika hirizi. Haijuzu jambo hili. Mimi naonelea kuacha kufanya kitendo hichi ni bora na usalama zaidi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/files/ls–jeddah-1430-8-20.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/salaf-walikuwa-hawatundiki-vibao-vya-aayah-za-qur-aan/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)