Redio Rugema


radio

Redio ya mawaidha


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio ya mawaidha ambayo inacheza mawaidha mbalimbali kwa masaa 24 kutoka kwa walinganizi wetu wa Afrika mashariki.

59 comments

 1. Namshukuru Allah kwa kupataa Redio yenyekutupaa faidaa

 2. Asalam Alykum warahmatullah wabarakatuh
  Radio ya mawaidha mbona ipo kimya hatuisikii ikichezwa

 3. Radio nzur saana tunaipata hapa Dodoma kwa uzur kabsa

 4. Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh Nina shida na darsa ya swala hii naweza kupata vipi?

 5. Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh Nina shida na darsa ya hii ya swala hii naweza kupata vipi?

 6. Alhamdulillah

 7. As salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
  Mbona radio ya mawaidha inalia hivyo ni dufu au

 8. Alhamdulilah tunamshukuru Allah kuendelea kupata faida kemkem

 9. Mashaallah
  Tunaomba na shekh kipoozeo na nassor bachu
  Sijui huwa saangapi

 10. Assalaamu alaykum warahmatuLLAAHI wabarakaatuhu
  Mbona leo radio ya mawaidha haisomi?
  BaarakaLLAAHU fiykum.

 11. Assalaamu alaykum warahmatuLLAAHI wabarakaatuhu
  BaarakaLLAAHU fiykum
  Redio ya mawaidha haisomi sijui kwanini?
  BaarakaLLAAHU fiykum.

 12. Asalamu alykum Nipo mtwara pamoja sana

 13. Alhamdulillah….Neema.

 14. Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuhu radio imepotea tangu Jana

 15. Ahsanteni kwa jitihadi nzuri ya kueneza dini ya Allahu

 16. ALLAH awajaze kheri wote wanaosaidia katika kuipeleka dini mbele

 17. Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh naomba murushe audio za masheikh wa kisalafi za Quran.

 18. Alhamdulillah kwa kupata mafunzo sahih ya Dini …Jazakallah hu kheiran ….Allah aza wa jalah awalipe iwe katikamizani yenu siku ya hesabu ….Amin ya Raab Laalamin

 19. jazaak llahu khayran…tunaomba tuwekewe rqtiba ya vipindi kama inawezekana

 20. Mashallah, Allah awalipe kheri, redio isikike maeneo mengi ummah upate kuelewa kuhusu usalafi

 21. Asalam alykum alhmdullillh Allah akubariq na atubariq sote na atufishe katika njia ya sawa

 22. بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا

 23. Jazakallah khaira..

 24. Allaah awalipe kheri nawapata vizuri

 25. ASALLAAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH HIVI HII APPLICATION TATIZO NINALOKUTANA NALO KWANGU NAONA KAMA IMEPOTEZA UBORA HASWA KWA MFANO KIPENGELE CHA KU SEARCH SAIZI HAKUPO TENA

 26. Assalaamu aleykum..naipata loud n clear..#
  BarakaAllahu fiikum..#

 27. Assalam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh ma ikhwa.nawapata vizuri sana

 28. Assalamualaykum warahtullah wabarakatuh
  Hiv hii website ina nn ? Au Ni simu yang tu maana Kuna vipengele vingi Sasa hakuna halafu haipo mfumo huliozoeleka

 29. Mbona firqatunnajia App siipati playstore

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*