Redio ya Qur-aan


radio

Redio ya Qur-aan

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio ya Qur-aan ambayo inacheza Qur-aan masaa 24.

33 comments

 1. بارك الله فيكم

 2. جزاكم الله خيرا

 3. Asalam alekum warahmatuAllah wabarakatuh…. masha Allah nafaidika sana na firqatunnajia application kila kitu napata darsa kisomo cha quran khutbah ahsanteni sana nawaombea Alah awazidishiye amin…

 4. Tunafaidika sana kupitia humu firqatunnajia, Quran, darsa mbalimbali n.k Allah ‘subhanaw wata’ala awalipe mema duniani na akhira

 5. Jazaakum llahu khairan.
  Tunafaidika sana na firqatunnajia kwa ujumla pamoja na redios za kisalaf. Allah awalipe kheir zaidi na awape umri mrefu. آمين

 6. بارك الله فيكم و جزاكم الله خيرا

 7. Alhamdulillah

 8. أبو شوكان أحمد مكام

  بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا

 9. Suleiman Shariff Abaad Al Baalawy

  Asalam aleikum wa Rahmatullahi wa baraqutuhu.
  Allah awajaze kheir kati ya kheiri zake na neema zote kwa walio andaa mipango haya ya upato wa kusikilizwa kwa Usomaji wa Kitabu chetu kitukufu maishani mwa Wanadamu ki ujumla hususan Sie Waislamu kwa ujumla Quran.
  Amin Ya Rabbi Alamin.
  Mie Ndugu yenu kutoka Manchester Cheetham Hill. United Kingdom
  Nafaidika na kuskiliza Quran.
  Alhamdulillah.
  Stay Blessed always.
  And Smile Always
  Ramadhan Mubaraq wa Saum Maqbul.
  Shukran
  Regards to All
  Yours Suleiman Abaad.

 10. Asalam aleikum…vp vitabu katika firqatunnajia haviwezi ku downlod mbona?

 11. جزاكم الله خيرا

 12. Kazi nzuri Allah awalipe kheri. Maoni yangu ni kuhusu maelezo yanayotembea hapo juu (ujumbe) uanze toka kulia kwenda kushoto ili msomaji apate wepesi kusoma maana kwa hali ilivyo sasa maneno yayanaanza mwisho sasa kama sentensi ni ni ndefu mimi binafsi napata shida kuyaelewa.

  Baarakallahu fiikum.

 13. Jazaakumullahu khayr

 14. أبو معاذ سالم بن حميد.

  Assalamu 3leikum warahmatu Allahi wabarakatuh, afwan Ikhwa, naomba muskilize recording za Qur’an. Surat Yusuf na suratul hashri zimeingiliana(Hashri,aya 23)haikuisha, ikarudi tena Surat Yusuf. Baraka Allahu fikum wa Jazakumu Allah kheira

 15. Assalaam a’laykum kwa kweli hii ni nzur na ina faida nyingi Allah awalipe kheri walioitengeneza na wanaoisimamia

 16. assalamu alaykum

 17. Asalam alaiku,, hayo maandishi yanayopita yangeanza Julia kwenda lushoto,,barakallah fiikum

 18. بارك الله فيكم

 19. Allah akulipen kher…… Na azidikumuuongozeni, ktk usawa

 20. أبواليمان الكندي

  جزاكم الله خيرا

 21. I like this app so I need new updates so that I can gain more knowledge

 22. ابو حنيفة التنزاني

  نسأل الله أن يوفقنا لما يحبه ويرضاه…
  وجزاكم الله خيرا

 23. ماشاءاللہ
  Asanteni kwa Radio hii tunapata faida nyingi sana, الله awalipe akheri.

  Abuu Rujaina السلفی

 24. جازكم الله خيرا
  Tunapata fawaida nyingisana kwa yale hayajapatapo kutufikia الله awajaarie kilalakheri

 25. بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا

 26. ALLAH awalipe JAZZAA kubwa Fii DUNIA wali AKHERA Insha-ALLAH.

 27. Ma shaa Allah laaquata illa billah

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*