Qur-aan ndio miujiza mkubwa wa Mtume


Swali: Umetaja kwamba Qur-aan ni miujiza ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Je, anayo (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) miujiza ya kihisia kama miujiza ya Manabii na Mitume wengine?

Jibu: Anayo miujiza mingi. Lakini mkubwa zaidi ni Qur-aan tukufu. Ndio miujiza mkubwa zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 14/09/2020