Pesa za ribaa kama mahari


Swali: Inajuzu kutoa pesa za ribaa kama mahari?

Jibu: Hapana. Pesa za ribaa ni haramu. Hazifanyi uke wa mwanamke kuwa halali.

 

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (58) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16539
  • Imechapishwa: 23/09/2017