Omba kwa kukariri kwa kitendo chema ulichofanya

Swali: Pindi mtu anapomwomba Allaah kwa kitendo chema alichofanya anatakiwa kufanya mara moja tu au inafaa kukariri na kufanya Tawassul kwacho wakati wa dharurah?

Jibu: Hakuna neno ukikariri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18381
  • Imechapishwa: 02/04/2021