Swali: Mwenye kuwakufurisha watawala na anawataka waislamu wawafanyie uasi watawala ni katika Khawaarij?

Jibu: Haya ndio madhehebu ya Khawaarij. Kama anaona kufaa kufanya uasi dhidi ya watawala wa waislamu, na baya zaidi akawakufurisha, haya ndio madhehebu ya Khawaarij.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidhl-il-Islaam, uk. 174 http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/08.mp3
  • Imechapishwa: 18/02/2019