Ni lini bora kuiharakisha Dhuhr na kuichelewesha?


Swali: Ni vipi kuoanisha kati ya amri ya kuswali Dhuhr mapema na ubora wa kuichelewesha wakati wa jua kali?

Jibu: Amri ya kuiswali Dhuhr mapema kunachukuliwa na kufasiriwa kwamba ni katika kile kipindi kisichokuwa cha jua kali. Ikiwa ni kipindi kisichokuwa cha jua kali basi aiswali mapema mwanzoni mwa wakati.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (19)
  • Imechapishwa: 06/02/2021