Ni lazima kwa msilimu kuoga?


142- Nilimsomea baba yangu:

“Je, ni lazima kwa msilimu kuoga?”

Akajibu:

“Ndio.”

Nilimuuliza:

“Na ikiwa alioga kabla ya kusilimu?”

Akajibu:

“Hapana. Analazimika kuingia katika Uislamu kwanza ndio aoge baadaye.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/113)
  • Imechapishwa: 07/02/2021