Ni ipi hukumu ya Takbiyr za jeneza?


Swali 21: Ni ipi hukumu ya Takbiyr za jeneza?

Jibu: Ni nguzo. Endapo mtu ataswali pasi na kuleta Takbiyr basi swalah yake haisihi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 35
  • Imechapishwa: 13/10/2018