Ni ipi hukumu ya Takbiyr za swalah ya ´Iyd?

Swali 22: Ni ipi hukumu ya Takbiyr za swalah ya ´Iyd?

Jibu: Zote zimependekezwa isipokuwa ile ya kwanza. Za kubaki zimependekezwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 35
  • Imechapishwa: 13/10/2018