Ni ipi hukumu ya kuweka sawa kiatu ikiwa kiko chini-juu?


Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka sawa kiatu ikiwa kiko chini-juu?

Jibu: Sijui msingi juu ya hili. Watu wasiokuwa na elimu wanatilia mkazo jambo hili na pindi wanapoona kiatu kiko chini-juu basi hukiweka sawa. Haidhuru kukiacha chini-juu au venginevyo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (19)
  • Imechapishwa: 28/02/2021