Ni ipi hukumu ya kuswali nyuma ya anayelingania katika Bid´ah?


Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali nyuma ya mzushi na anafanya ubishi juu ya hilo?

Jibu: Ikiwa unajua kuwa ni mzushi, na baya kuliko hilo ni kwamba analingania katika Bid´ah na Bid´ah hiyo ikawa inahusiana na ´Aqiydah, basi usiswali nyuma yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' al-Maftuuh fiy Masjid Qubaa' http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17626
  • Imechapishwa: 24/02/2018