Ndio maana watu wa Luutw wako Motoni


Swali: Ni kweli kwamba watu wa Luutw walikuwa ni wapwekeshaji lakini pamoja na hivyo Allaah atawaingiza Motoni milele kwa sababu ya machafu haya?

Jibu: Husomi:

كَذَّبَتْ قَوْمُ لُوطٍ الْمُرْسَلِينَ

“Watu wa Luutw waliwakadhibisha Mitume.”?[1]

Je, hii sio kufuru? Ni kufuru. Haikuwa kwa sababu ya uchafu wa liwati.

[1] 26:160

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2017