Swali: Ni haramu kuwashtua ndege wa Haram?

Jibu: Ndio. Ndege wote ni haramu kuwashtua Haram. Makatazo yanamgusa hata asiyekuwa Muhrim.

Swali: Ni lazima kwa mlezi kuwakataza watoto wake kuwashtua ndege Haram?

Jibu: Akiwaona ndio awakataze. Ama kama hawaoni na wala hajui chochote juu yao hakuna kinachomlazimu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2020